Kukukaribisha kwenye tovuti yetu mpya tunakuzawadia shilingi 25,000 katika mfumo wa tiketi za bure za kubashiri yani Free bet katika shindano letu la facebook! Shiriki kwenye ‘Weka Caption’. Like page yetu na waambie rafiki zako pia wakusaidie ku-like Caption yako ili ujiongezee nafasi ya kushinda. Caption itakayopata likes nyingi itachaguliwa ili kuwekewa kiasi cha shilingi 25,000 kwenye akaunti yako ya Premier Bet kama Free bet. Soma kanuni na masharti yafuatayo:-
- Unatakiwa kuwa mwanachama wa premier bet uliyejisajili kwenye tovuti yetu ili uweze kushiriki. Free bet inapatikana online ila kama haujajisajili bado, unaweza fanya hivyo HAPA.
- Utaingia kwenye shindano hili endapo utakubali vigezo na masharti.
- Caption zinatakiwa ziandikwe kwenye picha husika ya facebook na ni LAZIMA utahusisha jina unalotumia kwenye akaunti yako ya premierbet.com
- Shindano litaanza rasmi tarehe 28 Machi 2019 mpaka Aprili 2.
- Hatutozingatia kama utaadika caption mara 2 kwenye picha moja, ni ile ile ya kwanza tu itakayohesabika.
- Caption itakayopata like nyingii itatangazwa kama ndio caption iliyoshinda baada ya tarehe 2 Aprili.
- Unatakiwa pia ku-like ukurasa wetu wa Facebook ili kuwa miongoni mwa watu wanaostahili kushiriki
- Kama ukiibuka kuwa mshindi, utaingiziwa bonus yako kwenye akaunti yako.
- Unatakiwa uwe umeweka pesa kwanza kwenye akaunti yako kabla hujaanza kutumia bonsai yako.
- Bonasi inatakiwa kubashiriwa mara moja tu kwa alama zisizopungua 1.2 na ushindi wowote hautohusisha dau hilo la bonsai
Shiriki sasa kwa kutembelea ukurasa wetu wa Facebook, unaweza ukawa mshindi wetu wa kwanza!