Shinda TSH 25,000 kama Free Bet!

Premier Bet Inakupa nafasi ya kujishindia TSH 25,000 kama free bet, kwenye akaunti yako ya premier bet mtandaoni wikiendi hii!

Masharti ni rahisi. Otea mfungaji wa mwisho kwenye fainali za kombe la FA jumamosi tarehe 18 Mei na kama utakuwa sahihi, huenda ukajishindia free bet!

Manchester City v Watford ndio mechi ambayo itafunga rasmi michuano ya mpira wa miguu kwa msimu huu uingereza, magoli makali kama ya Sergio Aguero, Raheem Sterling na Troy Deeney ikioneshwa.

Lakini nani atafunga goli la mwisho? Ingiza bashiri zako kwenye sehemu ya ku comment kwenye ukurasa wetu wa Facebook. Bofya hapa kuiona post.

Ikitokea kwamba kuna majibu yaliyo sahihi Zaidi ya moja, mshindi atachaguliwa bila ya mpangilio maalum miongoni mwa walioandika majibu sahihi. Mshindi anahitajika mmoja tu.

 

VIGEZO NA MASHARTI

Majibu yote yatatakiwa yawe kwenye sehemu ya ku-comment kwenye post husika ili yawe halali

Ni lazima uwe ume-Like Ukuraa wetu wa Facebook “Premier Bet Tanzania” ili jibu lako liwe halali.

Unapaswa kutupatia jina lako unalolitumia kwenye akaunti yako ya premier bet mtandaoni (www.premierbet.co.tz) kama tukiwasiliana na wewe kwa lolote lile.

Bashiri yako inatakiwa iwe kwenye sehemu ya ku-comment kabla ya Mechi ya Machester City v Watford kuanza siku ya Jumamosi tarehe 18 Mei, 2019

Bashiri yako itaanza kuzingatiwa ndani ya dakika 90 za mchezo huo, muda wa ziada na penati hazitozingatiwa

Uwekaji wa majibu Zaidi ya moja hautozingatiwa na unaweza kusababisha kutolewa kwenye shindano.

Kama wewe ni Mshindi , utawekewa bonus kwenye akaunti yako

Inabidi uweke pesa ya ukweli kwenye akaunti yako kabla ya kutumia bonasi

Bonasi inabidi ibashiriwe mara moja kwa alama zisizopungua 1.20 na itumike ndani ya siku 5 ( ukishawekewa hiyo Bonasi)