Je unataka kujishindia Simu Mpya kali aina ya Samsung Galaxy S6?
Shindano letu linakupa nafasi ya wewe kujishindia simu myaaa, na ni bure kuingia!
Rahisi tu, tuambie matokeo ya kila mechi ya Tanzania kati ya zile mechi 3 za kundi C kwenye michuano ya AFCON 2019. Kama utabashiri matokeo kwa usahihi kabisa mechi zote tatu, utakuwa katika kinyang’anyiro hichi!
Pia hautotoka pakavu kama utashindwa kubashiri mechi zote 3 kwa usahihi. Premier Bet inakupa free bet ya thamani ya TZS 12000 kama utabashiri matokeo sahihi ya mechi 2 kati ya zile 3, na pia TZS 2500 kwa ambae atabashiri kwa usahihi matokeo ya mechi moja kati ya zile tatu!
Weka comment kwenye tangazo la shindano hili ambalo litakuwepo kwenye ukurasa wetu wa Facebook kabla ya Juni 21 ili upate nafasi ya kushinda simu mpya!
Vigezo na Masharti
- Washiriki wanapaswa kuweka majibu yao kwenye sehemu ya ku-comment kwenye hilo tangazo ambalo litawekwa facebook na jina ambalo analitumia kwenye akaunti yake ya Premier Bet. Bashiri zozote ambazo zitatumwa sehemu nyingine zozote kama inbox hazitahesabiwa.
- Washiriki wanapaswa kuwa na akaunti ambazo zimesajiliwa premierbet.co.tz muda wa kuingia kwenye shindano. Jisajili hapa.
- Shindano liataenda mpaka Ijumaa tarehe 21 Juni mida ya saa 6:00 mchana.
- Kila mshiriki anaweza kushindi zawadi Moja tu kati ya zile tatu, aidha Simu Mpya, free bet ya TZS 12000 au Free bet ya TZS 2500 Tu.
- Takribani washindi wa Simu mpya hawatazidi watano. Ikitokea kuwa na zaidi ya washindi watano ambao watabashiri kwa usahihi mechi zote tatu, majina yao yata wekwa na kuchaguliwa bila kuangalia mpangilio wa aina yeyote ili kupata mshindi.
- Simu itachukuliwa kwenye ofisi zetu, Makao makuu ambazo ziko Kariakoo Mtaa wa Sikukuu.
- Kuingiza majibu au bashir mara mbili haitohesabiwa, tutachukua jibu lako la kwanza tu, na pia majibu ambayo yatabadilishwa (ku edit) hatutayahesabia pia.
- Washindi watatangazwa Jumatatu Julai 8na watawasiliana na wahusika kupata zawadi zao.
- Washiriki wowote amabo watakuwa wanastahili kupata kifuta jasho kwa ubashiri wa mechi 2 au 1 sahihi basi nao pia watawekewa freebet zao kwenye akaunti zao za Premier Bet. Washindi wa hizo freebet watatpaswa waichezee au kubashiria hiyo pesa kabla ya kufanya jaribio lolote la kuitoa hiyo pesa.