Tumerudi tena na shindano letu kwenye ukurasa wetu wa Facebook. Unaweza ukawa mshindi wetu anaefuata na kujishindia shilingi 25,000 katika mfumo wa tiketi za bure za kubashiri yani free bet! Ni rahisi tu, shiriki kwenye shindano letu la “Weka Caption”, ka-like ukurasa wetu wa Facebook na hakikisha unawaambia marafiki zako nao waka-like Caption yako ili ujipatie nafasi ya kushinda. Caption itakayokuwa na likes nyingi ndiyo itachaguliwa kushinda Free bet ya shilingi elfu 25,000 ambayo utawekewa kwenye akaunti yako ya Premier Bet. Soma vigezo na Masharti vifuatavyo.
- Unatakiwa kuwa mwanachama wa Premier Bet uliyejisajili kwenye tovuti yetu ili uweze kushiriki. Free bet inapatikana online ila kama haujajisajili bado, unaweza fanya hivyo HAPA.
- Utaingia kwenye shindano hili endapo utakubali vigezo na masharti.
- Caption zinatakiwa ziandikwe kwenye picha husika ya Facebook na ni LAZIMA utahusisha jina unalotumia kwenye akaunti yako ya premierbet.com
- Shindano litaanza rasmi tarehe 2 Mei mpaka 7 Mei 2019.
- Hatutozingatia kama utaadika caption mara 2 kwenye picha moja, ni ile ile ya kwanza tu itakayohesabika.
- Caption itakayopata like nyingii itatangazwa kama ndio caption iliyoshinda baada ya tarehe 8 Mei 2019.
- Unatakiwa pia ku-like ukurasa wetu wa Facebook ili kuwa miongoni mwa watu wanaostahili kushiriki
- Kama ukiibuka kuwa mshindi, utaingiziwa bonus yako kwenye akaunti yako.
- Unatakiwa uwe umeweka pesa kwanza kwenye akaunti yako kabla hujaanza kutumia bonsai yako.
- Bonasi inatakiwa kubashiriwa mara moja tu kwa alama zisizopungua 1.2 na ushindi wowote hautohusisha dau hilo la bonsai
Shiriki sasa kwa kutembelea ukurasa wetu wa Facebook, unaweza ukawa mshindi wetu anaefuata.