Jishindie Free-bet ya Tsh 20,000 kutoka Premier Bet!

Ligi ya mabingwa barani ulaya imerudi tena na shindano letu linakupa nafasi ya kujishindia free bet yenye thamani ya shilingi elfu 20,000!

Tabiri timu nane ambazo zitaingia robo fainali msimu huu kwenye ligi ya mabingwa barani ulaya!

Shindano letu lipo wazi kushiriki kwa yeyote mwenye akaunti www.premierbet.co.tz na ni buree.

Kushiriki, bonyeza hapa kabla ya februari 18 kujiwekea nafasi ya kushinda!

Vigezo na masharti

  • Washiriki wanapaswa kuingiza utabiri wao kwenye link iliyowekwa hapo juu. Ukituma utabiri wako kwengine kokote hatutozingatia.
  • Washiriki wanapaswa kuwa na akaunti ya Premier bet muda wa kushiriki www.premierbet.co.tz . Jisajili hapa.
  • Shindano litaenda mpaka Jumanne tarehe 18 Februari, 2020 saa 1:30 usiku.
  • Kila mshiriki anaweza kushinda zawadi ambayo haizidi moja.
  • Hawatozidi washindi watatu. Ikitokea kuwepo zaidi ya washindi watatu wenye majibu sahihi, wale ambao wamekaribia jibu sahihi(idadi ya Jumla ya magoli yatakayofungwa) ndio watatangazwa kuwa washindi
  • Kushiriki zaidi ya mara bili hakutokubalika na tutachukua majibu yako ya kwanza tu.
  • Washindi watatangazwa Machi tarehe 20 Ijumaa na hizo free bet zitaingizwa moja kwa moja kwenye akaunti zao.